Sumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sumba''' ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sumbawa na upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Flores. Eneo...'
 
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
 
 
 
[[Picha:Sumba.jpg|Sumba]]
 
'''Sumba''' ni kisiwa cha [[Indonesia]]. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha [[Sumbawa]] na upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha [[Flores]]. Eneo la kisiwa ni 11,153 [[kilomita ya mraba|km²]]. Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Waingapu. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 685,186. Watu wakaao kisiwani kwa Sumba huongea lugha mbalimbali, ambao kubwa yake ni [[Kikambera]].