Nias : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nias''' ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Sumatra. Eneo la kisiwa ni 5121 km². Mji mkubwa kabisa...'
 
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
 
 
[[Picha:Lokasi Sumatra Utara Kabupaten Nias.svg|thumb|Picha ya ramani kuonesha Kisiwa cha Nias]]
'''Nias''' ni kisiwa cha [[Indonesia]]. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha [[Sumatra]]. Eneo la kisiwa ni 5121 [[kilomita ya mraba|km²]]. Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Gunungsitoli. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 788,132. Watu wakaao kisiwani kwa Nias huongea lugha ya [[Kinias]].