Sumatra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sumatra''' ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini wa bara la nchi ya Malaysia. Eneo la kisiwa ni 480,847 km². Mji mkub...'
 
#WPWP #WPWPARK
Tag: Reverted
Mstari 1:
 
 
[[Picha:Sumatra meulaboh mosque.jpg|thumb|Msikiti wa meulaboh Sumatra]]
'''Sumatra''' ni kisiwa cha [[Indonesia]]. Kiko upande wa kusini wa bara la nchi ya [[Malaysia]]. Eneo la kisiwa ni 480,847 [[kilomita ya mraba|km²]]. Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Medan. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 50,365,538. Watu wakaao kisiwani kwa Sumatra huongea lugha mbalimbali, idadi yake zaidi ya hamsini, hasa [[Kimalay]] na lugha nyinginezo.