Sumbawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sumbawa''' ni kisiwa cha Indonesia. Kiko kati ya kisiwa cha Lombok upande wa magharibi na kisiwa cha Flores upande wa mashariki. Eneo la kisiwa n...'
 
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
 
 
[[Picha:Kecamatan Alas Sumbawa.jpg|thumb|Kecamatan_Alas_Sumbawa]]
'''Sumbawa''' ni kisiwa cha [[Indonesia]]. Kiko kati ya kisiwa cha [[Lombok]] upande wa magharibi na kisiwa cha [[Flores]] upande wa mashariki. Eneo la kisiwa ni 15,214 [[kilomita ya mraba|km²]]. Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Bima. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 1,391,340. Wengi wa watu wakaao kisiwani kwa Sumbawa huongea [[Kisumbawa]].