Luzon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#WPWP #WPWPARK
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Ph locator map luzon.png|thumb|Picha ya ramani kuoneshaikionyesha Sehemu ya Luzon kati ya visiwa vya Ufilipino]]
'''Luzon''' ni [[kisiwa]] kikubwa zaidi katika [[Ufilipino]]. Iko [[kaskazini]] mwa nchi. [[Mji mkuu]] wa [[Manila]] uko Luzon, pamoja [[jiji]] la [[Quezon]] ambalo ni jiji kubwa nchini <ref>[http://islands.unep.ch/IHE.htm#898 Islands of Philippines, Luzon], tovuti ya [[UNEP]] , iliangaliwa Oktoba 2019]</ref>.