Prussia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 24:
== Prussia kama kiongozi wa Ujerumani ==
Katika ya vita ya wenyewe kwa wenyewe katika Ujerumani [[1866]] Prussia ilishinda Austria na kuwa dola kiongozi kati ya madola ya Ujerumani. Mwanasiasa mkuu wa nyakati zile alikuwa [[Otto von Bismarck]] kama [[waziri mkuu]] wa Prussia na baadaye kama [[chansella]] wa Ujerumani.
Baada ya kushinda [[Ufaransa]] katika [[Vita ya Ufaransa dhidi ya Ujerumani ya 1870|vita ya 1870/1871]] sehemu zote za Ujerumani isipokuwa Austria ziliunganika chini ya uongozi wa Prussia na kuanzisha [[Dola la Ujerumani]]. Mfalme [[Wilhelm I wa Prussia]] alichaguliwa kuwa [[Kaisari]] wa Ujerumani. Alifuatwa na mtoto wake Friedrich III aliyekufa mapema halafu na [[Wilhelm II wa Ujerumani|Wilhelm II]]. Wakuu wale walitawala kwa cheo cha "Kaisari ya Ujerumani na mfalme wa Prussia".
[[Picha:Deutsches Reich 1925 b.png|thumb|300px|Prussia (buluu nyeupe) ndani ya Ujerumani baada ya 1918]]
== Jamhuri ya Prussia ndani ya Ujerumani ==