Nafaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Various grains.jpg|thumb|VYakula kutokana na nafaka]]
 
'''Nafaka''' ni mbegu wa aina mbalimbali za [[manyasi]]. Ni pia jina kwa ajili ya aina za manyasi mabazoambazo mbegimbegu zake zinaliwa kama chakula cha kibinadamu.
 
Manyasi za nafaka ni kati ya mimea muhimu zaidi inayotumiwa kama chakula cha watu duniani.
Mstari 13:
*[[mtama]]
*[[ngano]]
*[[teff]] (nafaka ya [[Uhabeshi]])
 
Aina tatu za nafaka ambazo ni 87 % za mavuno ya nafaka zote duniani [[muhindi]], [[ngano]] na [[mpunga]].