Antena : Tofauti kati ya masahihisho

148 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
(Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
 
Kwa upande wa risiva, antena hupokea mawimbi ya redio yaliyotumwa na transmita na kuyabadilisha kuwa mkondo wa umeme kwenye ncha zake na kupelekwa kwenye [[amplifaya]].
 
Antena ni vifaa muhimu sana kwa vifaa vyote vitumiavyo mawimbi ya redio. Hutumika katika mifumo mbalimbali kama vile [[mitambo]] ya kurushia matangazo ya redio, matangazo ya [[televisheni]], risiva za [[mawasiliano]], [[rada]], [[simu ya mkononi]], [[satelaiti]] na vitu vingine kama vile vifaa vya kufungulia milango ya [[karakana]] (''[[gereji]]''), mitandao ya [[kompyuta]] isiyotumia nyaya na kadhalika.<ref>For example http://www.telegraph.co.uk/science/science-news/7810454/British-scientists-launch-major-radio-telescope.html {{Wayback|url=http://www.telegraph.co.uk/science/science-news/7810454/British-scientists-launch-major-radio-telescope.html |date=20120203184351 }}; http://www.ic.gc.ca/eic/site/smt-gst.nsf/eng/sf09377.html; {{cite web |url=http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |title=Archived copy |accessdate=2013-10-19 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20131020095753/http://www.ska.ac.za/media/meerkat_cad.php |archivedate=2013-10-20 |df= }}</ref><ref>https://books.google.co.tz/books?id=uah1PkxWeKYC&pg=PA29&redir_esc=y</ref>
<ref> Marconi, "Wireless Telegraphic Communication: Nobel Lecture, 11 December 1909." Nobel Lectures. Physics 1901–1921. Amsterdam: Elsevier Publishing Company, 1967: 196–222. p. 206.</ref>