Bidii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:Décorticage.jpg|thumb|Kikundi cha watu wakionyesha juhudi kwenye kazi]]
'''Bidii''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni ile hali ya kuonyesha [[juhudi]] za dhati katika kufanya jambo fulani, kwa mfano [[Darasa|darasani]]. Bidii ya [[mtu]] inaweza ikamfanya afikie malengo makubwa anayotaka na kujiona yeye ni wa juu. Pamoja na yote hayo sisi [[binadamu]] huwa tunafanya bidii ili tufikie malengo yetu tunayoyataka.