Tofauti kati ya marekesbisho "Foxy Brown"

22 bytes added ,  miezi 2 iliyopita
no edit summary
 
| maelezo = Brown at the 2007 Olympus Fashion Week
| jina la kuzaliwa = {{nowrap|Inga DeCarlo Fung Marchand<ref name="entertainment weekly">{{Cite news|last=Brown|first=Scott|last2=Serpick|first2=Evan|title=Lil' Brown & Co.|url=http://www.ew.com/ew/article/0,,280191,00.html|periodical=[[Entertainment Weekly]]|issue=586|date=2001-03-09|accessdate=2008-02-29}}</ref>}}
| tarehe ya kuzaliwa = {{nowrapNowrap|{{birthBirth date and age|1978|9|6}}{{refn|An arrest report by the [[Broward County Sheriff's Office]] dated February16 16,Februari 2007, listed her birth year as 1978.<ref name="Smoking Gun"/> An article in ''[[The New York Times]]'' from September8 8,Septemba 2007, stated: "Ms. Brown, who turned 29 on Thursday [September 6], had tried to conceal her identity by writing her name as Enga rather than Inga, and giving her date of birth as 1980 rather than 1978."<ref name="Contrite"/> The website [[AllMusic]] lists her birth date as September 6, Septemba 1979.<ref name="allmusic"/> An ''[[Entertainment Weekly]]'' article from March 9, March 2001 appears to support the 1979 birth year. In her song "I Don't Need Nobody", Marchand raps "1978 / The year I was born"<ref>[http://www.youtube.com/watch?v=UfUlZ7FCGCk "I Don't Need Nobody"] on YouTube</ref>|group=nb}}}}
| mahali pa kuzaliwa = New York City, U.S.US
| makazi = [[Brooklyn]], New York, U.S.US
| majina mengine = {{Flat list|
* Brooklyn's Don Diva
* Chyna Doll
* Ill Na Na
}}
| kazi yake = {{Flat list|
* Rapper
* mtunzi wa nyimbo
* mwigizaji
}}
| miaka ya kazi = 1994–hadi sasa
| alikotoka = [[Brooklyn]], [[New York]], U.S.US
| module = {{Infobox musical artist 2|embed=yes
| background = solo_singer
}}
}}
| signature =
| wavuti =
}}
 
'''Inga DeCarlo Fung Marchand''' (amezaliwa tar. [[6 Septemba]], [[1978]]),<ref name="Smoking Gun">{{cite web|url=http://www.thesmokinggun.com/archive/years/2007/0216072foxy2.html|title=Foxy Brown Busted|date=February 16, 2007|work=The Smoking Gun|accessdate=December 31, 2009|archiveurl=https://web.archive.org/web/20100330071653/http://www.thesmokinggun.com/archive/years/2007/0216072foxy2.html|archivedate=2010-03-30}}</ref> anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Foxy Brown''', ni [[rapa]], , [[mwanamitindo]], na [[mwigizaji]] kutoka nchini [[Marekani]].
Anajulikana sana kwa kazi zake za kujitegemea,, vilevile kwa kazi zake kushirikiana na wasanii mbalimbali hasa kwa uhusiano wa muda mfupi na kundi zima la [[muziki wa hip hop]] - babu-kubwa [[The Firm]]. Amekulia mjini [[Brooklyn, New York]], baba yake mzazi mzee Keith Stahler aliitelekeza familia yake akiwa mdogo mno ili kwenda kuendeleza kazi zake katika studio ya ERAC records.
Albamu zake ni pamoja na ''[[Ill Na Na]]'' mnamo 1996, ikafuatiwa na ''[[Chyna Doll (albamu)|Chyna Doll]]'' mnamo 1999, na ''[[Broken Silence (Foxy Brown)|Broken Silence]]'' mnamo 2001. Vilevile amerap katika albamu ya kundi lake shirikishi mnamo 1997 ya the Firm, [[The Album]], albamu pekee iliyopata kutolewa na kundi hilo hadi sasa. Katika kazi zake, Brown anarekodi mbaya mno ya kutiwa mbaroni na kutumikia kifungo mara kadhaa.
 
Baada ya 2001, aliendelea kurekodi mistari kwa ajili yake mwenyewe na wasanii wengine lakini hajatoa albamu yoyote ile; ametoka katika studio ya Def Jam mnamo 2003, hivyo basi inapeleka kughairishwa kwa kutolewa kwa albamu yake ya pili ya ''Ill Na Na 2''. Hata hivyo, alirudi katika studio hiyo mnamo Januari 2005 baada ya [[Jay-Z]] kuwa Rais na CEO wa Def Jam na kuingia mkataba upya na kuanza kazi ya albamu yake mpya iliyoitwa ''[[Black Roses (Foxy Brown)|Black Roses]]''.
Mnamo Desemba 2005, akaanza kusumbuliwa na matatizo ya kutosikia, ambapo ilipelekea kusimama kwa kazi zake hadi kiangazi kilichofuata, miazi michache baada ya kufanyiwa upasuaji. Albamu yake ya nne, ambayo awali ikuwa kandamseto, ilitolewa mnamo mwezi wa Mei 2008 ikiwa fuatiwa na machelewesho kedede yaliyotokana na kifungo cha jela kilichosababishwa na ukorofi wake Brown.
 
==Kazi za muziki==
==Diskografia==
{{Main article|Diskografia ya Foxy Brown}}
* ''[[Ill Na Na]]'' (1996)
* ''[[Chyna Doll (albamu)|Chyna Doll]]'' (1999)
* ''[[Broken Silence (Foxy Brown)|Broken Silence]]'' (2001)
 
==Maelezo==
 
{{Authority control}}
 
__FORCETOC__
 
{{DEFAULTSORT:Brown, Foxy}}
9,527

edits