Senegal (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Mto | jina = Mto wa Senegal
| picha = Faidherbeb.jpg
| maelezo_ya_picha = Mto wa Senegal karibu na mdomo mjini [[St. Louis]]
| chanzo = maungano ya mito ya Bafing na Bakoyé mjini Bafoulabé.
| mlango = [[Bahari ya Atlantiki]]
Mstari 11:
}}
 
'''Mto wa Senegal''' ni kati ya mito mirefu ya [[Afrika]] ukiwa na mwendo wa 2272 km pamoja na [[tawimto]] mrefu wa Bafing.
Mto Senegal mwenyewe unaanza karibu na mji wa Bafoulabe ([[Mali]]) kwenye maungano ya mito miwili ya Bafing na Bakoye ambayo yote ina chanzo huko [[Guinea]].
 
Mwendo wa mto Senegal ni mpaka kati ya [[Mauretania]] na [[Senegal]]. Senegal ikikaribia [[Atlantiki]] inafika kwenye kisiwa cha [[St. Louis]] halafu inageukia kusini. Sasa inafuata pwani la bahari ikitengwa na Atlantiki kwa kanda nyembamba ya mchanga tu hadi kuingia kabisa.
 
Beseni ya Senegal ni 483,181 km². Tawimito muhimu ni Faleme, Karakoro na Gorgol.