Tripoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
 
[[Picha: Tripoli_Montage.jpg|thumb|Muonekano wa mji wa Tripoli]]
'''Tripoli''' ni neno la asili ya [[Kigiriki]] (Τρίπολις - Trípolis au Τρίπολη - Trípoli) linalomaanisha "miji mitatu" au "mji mwenye sehemu tatu". Asili yake ni maungano ya miji mitatu ya jirani kuwa mji au dola moja. Katika lugha ya Kiarabu neno limekuwa "'''Trablus'''" au "'''Tarablus'''" ('''طرابلس''').