Admirali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha: US_Navy_O10_insignia.svg|thumb|Kola, bega, na nembo ya alama kwa Admiral katika Jeshi la Wanamaji la Merika]]
'''Admerali''' (pia: '''admeri, admirali''') ni [[cheo]] cha [[kiongozi]] mkuu wa kijeshi wa [[Jeshi la majini|wanamaji]]. Cheo hicho kinalingana na [[jenerali]] katika [[Tawi|matawi]] mengine ya [[jeshi]].