Afande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha: South_Australia_Police_officers_at_a_protest.jpg|thumb|Maafande wa Australia wakiwa lindo]]
'''Afande''' ni [[jina]] la [[heshima]] ambalo [[mwanajeshi]] au [[askari]] yeyote anamwita mkubwa wake. Inalingana na [[neno]] la [[Kiingereza]] "Sir" lililokuwa la kawaida katika [[jeshi]] wakati wa [[ukoloni]] wa Kiingereza.