Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 40:
==Biashara ya Watoto==
Mambo vipi, katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Biashara_haramu_ya_watoto umeweka picha ambayo inaonyesha kifaa cha kufungia wafungwa lakini kikiwa na maelezo ya kuwa ni kifaa kinachotumika kuwafungia watoto ikiwa ni katika biashara ya usafirishaji watoto, na mashaka na picha hiyo kama inaendana moja kwa moja na makala hiyo, kwa sababu kifaa hicho hutumika kuwafungia wafungwa, Amani sana '''[[Mtumiaji:Idd ninga|Idd ninga]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Idd ninga|majadiliano]])'''
::Nimeondoa picha hiyo iliyokuwa alama ya jamii "Biashara ya watumwa" (na hakika vifaa hivi vya kihistoria havitumiwi kushika watoto leo), nimeweka picha kutoka makala husika ya enwiki. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 12:46, 15 Julai 2021 (UTC)
 
==Usitafute picha kutoka Commons==