Go-Ichijo wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Go-Ichijo''' (12 Oktoba, 100815 Mei, 1036) alikuwa mfalme mkuu wa 68 (''Tenno'') wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '...'
 
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
'''Go-Ichijo''' ([[12 Oktoba]], [[1008]] – [[15 Mei]], [[1036]]) alikuwa mfalme mkuu wa 68 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Atsuhira'', na alikuwa mwana wa pili wa Tenno [[Ichijo]]. Mwaka wa [[1016]] alimfuata binamu yake, Tenno [[Sanjo]], na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, [[Go-Suzaku]].
[[Picha:Tomb_of_Emperor_Goichijo.jpg|thumb|Kaburi la Mfalme Go-Ichijō na mmoja wa binti zake, Kyoto]]
 
==Angalia pia==
*[[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani]]