Junna wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:淳和天皇.jpg|thumb|Mfalme '''Junna''' ]]
 
'''Junna''' (mnamo [[785]] – [[11 Juni]], [[840]]) alikuwa mfalme mkuu wa 53 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Otomo'', na alikuwa mwana wa tatu wa Tenno [[Kanmu]]. Mwaka wa [[823]] alimfuata kaka yake, Tenno [[Saga]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 833. Aliyemfuata kama Tenno ni mpwa wake, [[Ninmyo]].