Hospitali ya Taifa ya Kenyatta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha: COLLECTIE_TROPENMUSEUM_Hoofdingang_van_het_oude_Kenyatta_Hospital_in_Nairobi_TMnr_20038719.jpg|thumb|COLLECTIE TROPENMUSEUM Hoofdingang van het oude Kenyatta Hospital in Nairobi TMnr 20038719]]
'''Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta(Contct0704 143 990) iliyoko jijini [[Nairobi]], ni Hospitali kongwe zaidi nchini [[Kenya]]. Ilianzishwa mwaka wa 1901 na uwezo wa vitanda takribani 40 kama ''Native Civil Hospital,'' ilibadilishwa jina na kuitwa [[King George VI]] mwaka 1952. Wakati huo,masetla walikuwa wakihudumiwa na hospitali ya jamii iliyoko karibu, European Hospital (sasa inaitwa [[Nairobi Hospital]]). Ilibadilishwa jina hadi Kenyatta National Hospital - baada ya [[Jomo Kenyatta]] - kufuatia uhuru kutoka [[Uingereza]]. Kwa sasa ndiyo hospitali kubwa ya rufaa na mafundisho nchini.