Tiba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d #WPWP,#WPWPTZ |
TIBA YA MADONDA YA TUMBO. Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit |
||
Mstari 1:
Madonda ya tumbo ni ugonjwa unao wasumbua watu wengi sana duniani ugonjwa huu malanyingi unaambatana na chembe moyo yani tumbolinapokusumbuwa huuma kwa kuambatana na chembe moyo namgonjwa huteseka sana kwasababu huu ugonjwa unampangia mgonjwa chakula ambacho awe anakula akila chakula tofauti mambo yanakuwa nimengine,
Chanzo cha ugonjwa wa madonda ya tumbo ni:
1 Mawazo,mawazo ni chanzo kikubwa sana mtu akiwa na mawazo kupita kiasi yupo kwenye hatali yakupata madonda ya tumbo
2 Kongosho, kongosho ni tezi inayo jihusisha na maswala ya mmeng'enyo wa chakula kongosho hutoa baazi ya vimeng'enya kama Acd ili kusaidia baadiya vimenge'nya kumeng'enya chakula kwa urahisi laki inapo shindwa kupima kiasi cha acd na kutoa acd nyingi ujuwe unaandamwa na madonda ya tumbo ndiyomaana unashauliwa kunywa maji mengi, lakini kutokana na utafiti wa hapa na pale zimepatikana dawa za kutibu madonda ya tumbo mojawapo ni.. Asali, asali ni dawa nzuri sana kwa madonda ya tumbo na siyo kutuliza tu bali inatibu ukizingatia matumizi.
|