Tiba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
TIBA YA MADONDA YA TUMBO. Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit |
d Masahihisho aliyefanya Stivin mwanisawa (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Olimasy Tag: Rollback |
||
Mstari 1:
[[Picha:Treatment of VD case. Extra charges, other than the regular medical fee deducted from pay, are made for treatment of... - NARA - 540839.jpg|thumb|Binadamu akipewa tiba na [[Daktari|madaktari]]]]
'''Tiba''' (au: '''Uganga''') ni [[elimu]] kuhusu [[magonjwa]] ya [[Binadamu]] mwilini na rohoni, jinsi ya kuzuia magonjwa na kuhusu njia ya kurudisha [[uzima]].
Elimu hii inafuata mbinu za ki[[sayansi]], tofauti na [[uganga wa kienyeji]] au wa [[Mila|kimila]].
Watu wanaoshughulikia magonjwa ya watu huitwa ma[[tabibu]] au waganga. Mara nyingi watu huwaita "[[daktari]]", lakini neno hili lamaanisha zaidi [[cheo]] cha kufaulu [[chuo kikuu]] kwenye ngazi ya juu; mara nyingi waganga husoma hadi cheo cha daktari wa tiba.
Watu wanaofanya kazi pamoja na tabibu ni [[muuguzi]] ([[nesi]]) na wasaidizi wengine.
Tiba imeendelea kiasi cha kuwa na masomo yake madogo yanayoangalia hasa magonjwa ya sehemu fulani ya mwili tu. Kila somo dogo lina [[wataalamu]] wake. kwa mfano tiba ya [[moyo]], ya [[ngozi]], ya [[viungo vya ndani]], ya [[upasuaji]], ya [[magonjwa ya watoto]] na kadhalika.
{{mbegu-tiba}}
[[Category:Tiba|!]]
|