Mtoto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d WikiForHumanRights
 
Mstari 10:
[[Mkataba wa Kiafrika juu ya haki na ustawi wa watoto]] (African Charter on the Rights and Welfare of the Child) uliokubaliwa na [[Umoja wa Afrika]] unamwona pia kila mtu hadi umri wa miaka 18 kuwa mtoto.
 
Kuna nchi zinazotofautiana kisheria kati ya watoto na vijana. Kwa mfano [[Ujerumani]] unawaangaliainawaangalia wale walio kati ya miaka 14 na 18 kuwa vijana na kuwapa haki tofauti na watoto na watu wazima.
 
Mtoto kwa jumlakwaujumla hapewi [[madaraka]] kama mtu mzima, yuko chini ya [[usimamizi]] na uangalizi wa [[wazazi]] au [[walezi]].
 
== Utamaduni ==