Tofauti kati ya marekesbisho "Lava (volkeno)"

1 byte added ,  miezi 4 iliyopita
#wpwp #wpwpark
(#wpwp #wpwpark)
 
<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
[[Filepicha:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]
'''Lava''' (kutoka [[jina]] la [[Kiingereza]] lenye asili ya [[Kilatini]] [[w:lava|lava]], wakati mwingine pia '''zaha'''<ref>Kamusi za [[TATAKI]] na [[BAKITA]] hutaja zaha kama visawe vya lava; kamusi ya [[KAST]] inataja zaha kama visawe vya volkeno yenyewe.</ref>) ni [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] ulio katika hali ya [[kiowevu]] kutokana na [[joto]] kali. Chini ya uso wa [[dunia]] mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "[[magma]]" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama ujiuji au nyepesi kama majimaji.<ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url =https://archive.org/details/holtsciencetechn00na_0| doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .