Mwakanuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha: 12lightyears.gif|thumb| Kuna nyota 33 ndani ya miaka 12.5 ya mwanga kutoka Jua]]
 
'''Mwakanuru''' (kwa [[Kiingereza]]: "Light year" <ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Light-year</ref>) ni [[kizio]] cha [[umbali]] kinachotumiwa katika [[fani]] ya [[astronomia]]. Ni kipimo cha umbali ambao [[mwanga]] umeusafiri kwa [[mwaka]] mmoja wa [[dunia]] yaani [[siku]] 365.25.<ref>[https://www.iau.org/public/themes/measuring/ Measuring the Universe The IAU and astronomical units], Tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Julai 2017</ref>.