Kipimo cha Beaufort : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 5 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha: Beaufort_wind_scale.png|thumb| picha ya data inayoonyesha kiwango cha nguvu ya upepo wa Beaufort katika vitengo vya ukubwa, mafundo, na mita / sekunde.]]
'''Kipimo cha Beaufort''' ([[ing.]] Beaufort scale) ni mfumo wa kupima kasi ya [[upepo]]. Msingi wake si kipimo kamili cha mwendo wa upepo bali kutazama matokeo ya upepo katika mazingira. Mfumo huu hutumiwa zaidi duniani ulianzshwa mnamo 1805 na MWingereza [[Francis Beaufort]].