Beka'a : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 35 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q202322 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lebanon Bekaa.png|thumb|350px|Bonde la Beka'a nchini Lebanon]]
[[File:Majdalanjarcastle.jpg|thumb|Majdalanjarcastle]]
'''Beka'a''' (pia: Beqaa, Biqâ na Becaa; kwa [[kar.Kiarabu]] البقاع‎ al-niqāʿ; ilijulikana siku za kale kama Coele-Syria) ni [[bonde]] nchinilenye [[Lebanonrutuba]] yalililopo [[mashariki]] lililopomwa [[Lebanoni]] kati ya [[Safu ya milima|safu za]] [[milima ya Lebanoni]] na [[milima ya Lebanoni ndogo]] .
 
Linaanza kazkazinikaskazini, mpakani wa Syria, na kuvukakufuata urefu wote wa LebanonLebanoni likielekea kusini. Urefu wa uwanja ni takriban kilomita 120 na upana wake 8-12 km. Mito muhimu ni Orontes (nahr al-asi) upande kaskazini na mto Litani upande wa kusini.
 
Kijiolojia ni sehemu ya kaskazini ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] likiendelea upande wa kusini katika bonde la [[mto Yordani]].
 
Ni eneo lenyemuhimu rutbazaidi kunakwa [[kilimo]] nchini [[Lebanon]]. Kuna kilimo cha mboga wa majani aina nyingi. Miji[[Viwanda]] muhimupia nivipo Zahlévingi eneo hilo vinavyohusiana na [[Baalbek]]kilimo.
 
[[Miji]] muhimu ni [[Zahlé]] na [[Baalbek]].
[[Jamii:Lebanoni]]
 
==Historia==
Awali kipindi cha [[zama za chuma]] bonde la Beqaa kwa jumla lilikaliwa na [[Wafoinike]] - wakiongea na [[jamii]] na makabila. Bonde hilo lilikuwa kituo cha falme za Waarama katika karne ya 11. iligeuzwa kuwa kituo cha kabila na makabila ya Waarama, na kisha wakaanzisha mfumo wa usambazaji [[maji]] wa [[Damascus]] kwa kujenga mifereji na mahandaki ambayo yaliongeza ufanisi wa [[mto]] [[Barada]].<ref>{{cite book |last1=Burns |first1=Ross |title=Damascus: A History |date=2005 |isbn=978-0-415-27105-9 |url=https://books.google.com/books?id=1_bQTrpf62cC}}</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
{{mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Jiografia ya Lebanoni]]
[[Jamii:Africa Wiki Challenge 2021 in Tanzania]]