Afo-A-Kom : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d #AWCTZ
Tag: Reverted
Mstari 5:
Mnamo mwaka 1966, Afo-A-Kom iliibiwa kutoka kwenye shamba lake takatifu huko Laikom (kiti cha watu wa Kom, ambapo mkuu Foyn anakaa) na mmoja wa mabinti wa kifalme, kisha akauzwa kwa dalali ambaye baadaye alimuuza kwa muuzaji wa sanaa ambaye alilipeleka kwa Marekani. <ref>Blakeslee.</ref> <ref>Ellis, p. 141-145.</ref> Watu wa Kom wanaamini kuwa sanamu la Afo-A-Kom linamiliki nguvu za maajabu na kwamba muda mfupi baada ya kuwasili Marekani, lilianza kuwasumbua wamiliki wake wapya kwa kuharibu kila kitu kilichokuwa karibu nayo. Wamiliki hao wapya wa kimarekani walichukua sanamu hilo na kuitupa baharini lakini walipo rudi walilikuta palepale lilipokuwa. Afo-A-Kom alipelekwa kwenye jumba la sanaa wa New York ambapo aliuzwa kwa karibu milioni 15 za CFA.
 
Wakati sanamu hiyo ipo kwenye jumba la sanaa ilitambuliwa na mkusanyaji wa sanaa wa kimarekani Warren M. Robbins ambaye alichangisha fedha pamoja na wamarekani wengine <ref>Ellis, p. 145.</ref> kwa kushirikiana na wasomi na matajiri wa Kom waliokuwa wakiishi Marekani kwa lengo la kununua sanamu hilo kutoka Manhattan na walifanikiwa kulinunua kwa kiasi cha chini ya dola za kimarekani $30,000.<ref>Afo-A-Kom.</ref> wakati akirudisha sanamu hilo nyumbani, Robbins alipokewaalipokelewa na [[:en:Fon_(title)|Fon]] wa Wakom [[:en:Nsom_Ngwe|Nsom Ngwe]], na Rais wa Kameruni wa wakati huo [[:en:Ahmadou_Ahidjo|Ahmadou Ahidjo]]alikuwa ni miongoni mwa waheshimiwa waliokuwepo katika mapokezi ya sanamu la Afo-A-Kom .
 
==TanbihiMarejeo==
 
{{reflist}}
[[Jamii:Utamaduni wa Kamerun]]
 
[[Jamii:Masanamu ya Kameruni]]
[[Jamii:Africa Wiki Challenge 2021 in Tanzania]]