Jinja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+image
#AWCTZ
Mstari 1:
 
{{Mbegu-jio-Uganda}}
[[Image:Jinja_Place_Uganda.png|thumb|Mahali pa Jinja katika Uganda]]
[[Image:FISHERMAN IN JINJA.jpg|thumb|[[Ziwa Viktoria]] (Jinja)]]
'''Jinja''' ni [[mji]] wa pili katika [[Uganda]]. Iko kando la ziwa [[Viktoria Nyanza]] takriban katikati ya Kampala na mpaka wa Kenya kwa umbali wa 90 km mashariki ya Kampala. Jinja iko kando ya chanzo ya Nile inapotoka katika ziwa Viktoria Nyanza.
Kuna wakazi 106,000.
{{Mbegu-jio-Uganda}}
 
Jinja ni mji wa viwanda.
 
 
[[Jamii:Wilaya ya Jinja]]
[[Category:Miji ya Uganda]]
[[Jamii:Africa Wiki Challenge 2021 in Tanzania]]