Balbu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 66 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q47616 (translate me)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 6:
 
==Muundo ya balbu yenye waya==
Balbu ya kutolea nuru iligunduliwa katika karne ya 19. Awali waya nyembamba ya platini iliwekwa ndani ya gimba la kioo lililoondolewa hewa yote; wakati umeme ulipitishwa kwenye waya hii ilipashwa joto hadi kutoa nuru. Balbu za kwanza hazikudumu muda mrefu kwa hadi [[Thomas Edison]] alifauli kuziboresha kwa kutumia nyaya za [[kaboni]] au [[aloi]] mbalimbali za metali na kujaza balbu kwa gesi kama [[arigoni]] au [[nitrojeni]] iliyozuia kuharibika haraka kwa nyaya za kung'aa. Tangu wakati wake taa za umeme zilianza kusambaa kote duniani zikabadilisha maisha ya watu kwa kuwapa uwezekano wa kuangaza nyumba na barabara wakati wowote kwa gharama dogondogo.
 
[[Category:teknolojia]]