Ulaya ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#WPWP #WPWPARK #WPWPTZ
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Ulaya ya Mashariki''' ni sehemu ya [[mashariki]] ya [[bara]] la [[Ulaya]] lakini hakuna maelewano juu ya mipaka yake hasa upande wa [[magharibi]].
[[Picha:Eastern_Europe_from_space.png|thumb|UtoajiUlaya waMashariki kompyutakutoka wa Ulaya Mashariki[[Anga|angani]].]]
== Ulaya ya Mashariki kufuatana na Umoja wa Mataifa ==
[[Umoja wa Mataifa]] hujumuisha nchi zifuatazo humo:
Mstari 16:
 
Orodha hii imejumlisha nchi zote za Ulaya zilizokuwa sehemu za [[Umoja wa Kisovyeti]] au zilizoshikamana nao kisiasa hadi mwaka [[1989]] (isipokuwa [[Ujerumani ya Mashariki]]). Tatizo lake ni ya kwamba watu wa Poland, Hungaria, Ucheki na Slovakia zinajihesabu kuwa sehemu za [[Ulaya ya Kati]].
[[Picha:Expansion_of_christianity.jpg|thumb|uukuajiUkuaji wa ukristoUkristo Ulaya.]]
== Ulaya ya Mashariki kijiografia ==
Kijiografia mara zinatajwa humo nyingi nchi za [[Ukraine]], [[Belarus]], [[Moldova]] na sehemu ya Ulaya wa [[Urusi]]. Isipokuwa sehemu za kaskazini za Urusi huhesabiwa mara nyingi upande wa [[Ulaya ya Kaskazini]].