Hifadhi ya Taifa Jebil : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#AWCTZ
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:12, 30 Julai 2021

Jebil ni mbuga ya iliyo nchini Tunisia iliyo ndani ya jangwa la Sahara, ikiwa na eneo la hekta 150,000. ni mbuga ya pili kwa ukubwa nchini Tunisia ikitanguliwa na hifadhi ya taifa ya Senghar-Jebbes. Ingawa ni kubwa pia ni mpya ikiwa imeteuliwa kuwa mbuga ya kitaifa mnamo mwaka 1994 (haikuwa rasmi tangu mwaka 1984). Kabla ya kutangazwa Senghar-Jebbes ilikuwa ndio mbuga pekee ya kitaifa ndani ya jangwa la Sahara.[1]

Tunisia adm location map

Marejeo

  1. "Defining a World Heritage in the Heart of the Libyan Desert". August 2009.  Check date values in: |date= (help)