Hifadhi ya Taifa Jebil : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Tunisia adm location map.svg|thumb|Tunisia adm location map]]
 
'''Jebil''' ni mbuga ya kitaifa iliyo nchini [[Tunisia]] iliyo ndani ya [[jangwa]] la [[Sahara]], ikiwa na eneo la hekta 150,000. ni mbuga ya pili kwa ukubwa nchini [[Tunisia]] ikitanguliwa na hifadhi ya taifa ya Senghar-Jebbes. Ingawa ni kubwa pia ni mpya ikiwa imeteuliwa kuwa mbuga ya kitaifa mnamo mwaka 1994 (haikuwa rasmi tangu mwaka 1984). Kabla ya kutangazwa Senghar-Jebbes ilikuwa ndio mbuga pekee ya kitaifa ndani ya [[jangwa]] la [[Sahara]].<ref name=unesco>{{cite web|url=http://www.unesco.org/new/fileadmin/MULTIMEDIA/FIELD/Cairo/pdf/Ouenat|title=Defining a World Heritage in the Heart of the Libyan Desert|date=August 2009}}</ref>
 
==Marejeo==