Content deleted Content added
→‎Umesimamishwa: Ndugu umeanza kuleta makala ambako naona unatumia tena tafsiri ya kompyuta bila masahihisho. (Iubaltiana). Haikubaliki na umeshaambiwa mara kadhaa. Nimekubana sasa. Unaweza kuwasilianina nami kwa kutumia email. Tukielewana nitakuruhusu tena. Tafadhali niambie ni nafasi gani ambako mlipatana kutafsiri makala juu ya Tunisia. Kwa bahati mbaya hamjaandaliwa ipasavyo, nimeona makala nyingi zenye kasoro nzito.
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 43:
==Umesimamishwa==
Ndugu umeanza kuleta makala ambako naona unatumia tena tafsiri ya kompyuta bila masahihisho. ([[Iubaltiana]]). Haikubaliki na umeshaambiwa mara kadhaa. Nimekubana sasa. Unaweza kuwasilianina nami kwa kutumia email. Tukielewana nitakuruhusu tena. Tafadhali niambie ni nafasi gani ambako mlipatana kutafsiri makala juu ya Tunisia. Kwa bahati mbaya hamjaandaliwa ipasavyo, nimeona makala nyingi zenye kasoro nzito. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 14:28, 30 Julai 2021 (UTC)
 
Habari
Samahani wakati naifungua kabla ya kuanza kuipitia kifaa kilileta shida.
Na nikasahau kama niliishia wapi hivyo nikaendelea.
Hivyo kwa tafsiri iliyo haririwa inaonesha ni mtu lakini uhalisia ni mji.
 
Ahsante '''[[Mtumiaji:Killy95|Killy95]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Killy95#top|majadiliano]])''' 14:38, 30 Julai 2021 (UTC)