Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 50:
 
Ahsante '''[[Mtumiaji:Killy95|Killy95]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Killy95#top|majadiliano]])''' 14:38, 30 Julai 2021 (UTC)
 
::Nimepitilia makala kadhaa ulizotunga katika siku zilizopita. Picha ninayopata ni hii: umejaribu kuunda makala nyingi iwezekanavyo bila kujali maudhui. Matokeo yake ni makala ambazo mara nyingi hazina maana kabisa au kidogo tu, pamoja na makala nyingi za kushangaza na kumpotosha msomaji. Sababu kuu ni a) mara nyingi ulitumia tafsiri ya google bila kujali, yaani bila kuangalia kama matokeo yana maana kwa Kiswahili b) makala nyingine ulifupisha sana sijui kwa sababu hujaelewa Kiingereza au ulitaka kuendelea haraka (kufupisha ni sawa ila tu lazima maana fulani ibaki!) yaani mwishoni tuna habari fupi sana, haitaji chochote kuhusu mabaki ya kihistoria lakini unaweka yote katika jamii ya "maeneo ya kiakolojia"????
 
::Jebil National Park: haina maudhui ya akiolojia, haiko kwenye jamii yake ya mbuga wa kitaifa
 
::Aeliae: Unatumia marejeo bila kujali, rejeo lililopo ni kuhusu hali yake kuwa dayosisi ya zamani, lakini habari hii hujatafsiri;
 
::Jebil National Park , Sousse, Aeliae, Theveste, Thibilis (bila chanzo chochote!), Timgad: maelezo yoyote kuhusu magofu au mabaki ya kihistoria hujatafsiri, lakini unapanga yote katika jamii ya maeneo ya akiolojia??
 
::Rufiniana, Raqqada, Ausafa, Aïn Doura Baths, Ad_Turres_(Byzacena), Thiava, Numidia, Tigisis (Mauretania), Timgad: umetumia tafsiri ya google bila kujali matokeo; lugha haieleweki
 
Tatizo si ile makala moja niliyotaja juu. Umerudia mara nyingi, sijui nitapata ngapi nikiangalia nyuma zaidi. Ukiwa na hoja jinsi ya kurekebisha mambo, tafadhali niandikie kwenye [[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|ukurasa wangu]]. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 22:47, 30 Julai 2021 (UTC)