Kairuan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Kairouan"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 23:26, 30 Julai 2021

Kairuan ( Kiarabu ), pia Kairouan au Al Qayrawān ni mji mkuu wa Wilaya ya Kairuan nchini Tunisia . Mji umepokelewa na UNESCO katika orodha ya Urithi wa Dunia.

Mji ulianzishwa na Waumawiya baada ya upanuzi wa Waarabu Waislamu mnamo mwaka 670. [1] Katika kipindi cha Khalifa Mu'awiya (661-680) kilikuwa kituo muhimu cha usomi wa Kiislamu wa Kisunni na ujifunzaji wa Qur'ani [2] na hivyo kuvutia Waislamu wengi kutoka sehemu mbali mbali za ulimwengu. Hadhi yake ilipitwa tu na Makka na Madina na Yerusalemu . Msikiti mtakatifu wa Uqba uko katika mji huo. [3]

Mnamo 2014, jiji lilikuwa na wakazi wapatao 187,000.

Paranoma of Kairouan
Paranoma of Great Mosque of Kairouan

Matunzio

Marejeo

 

Viungo vya nje

  1. Nagendra Kr Singh, International encyclopaedia of Islamic dynasties. Anmol Publications PVT. LTD. 2002. page 1006
  2. Luscombe, David; Riley-Smith, Jonathan, eds. (2004). The New Cambridge Medieval History, Volume 2; Volume 4. Cambridge University Press. p. 696. ISBN 9780521414111. 
  3. Hutchinson Encyclopedia 1996 Edition. Helicon Publishing Ltd, Oxford. 1996. p. 572. ISBN 1-85986-107-5.