Content deleted Content added
Ndugu makala yako ya Back to the Future haina vyanzo. Nimenyosha lugha yake. Wewe tafadhali uongeze vyanzo. Ukiwa na matatizo, umwulize mkabidhi.
→‎VYanzo: ==Onyo== Mchango wako Back to the Future umetungwa kwa kutumia tafsiri ya kompyuta bila kujali matokeo. Ninakuonya sasa. Umeshaambiwa katika Sanduku la Karibu kwamba hii ni marufuku. Ukirudia nitakuzuia kwenye wikipedia hii.
 
Mstari 2:
 
==VYanzo==
Ndugu makala yako ya [[Back to the Future Part III]] haina vyanzo. Nimenyosha lugha yake. Wewe tafadhali uongeze vyanzo. Ukiwa na matatizo, umwulize mkabidhi. Ukifaulu kuweka vyanzo unaruhusiwa kuondoa mabano ya <big>'''<nowiki>{{vyanzo}}</nowiki>'''</big>. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:47, 31 Julai 2021 (UTC)
 
==Onyo==
Mchango wako [[Back to the Future]] umetungwa kwa kutumia tafsiri ya kompyuta bila kujali matokeo. Ninakuonya sasa. Umeshaambiwa katika Sanduku la Karibu kwamba hii ni marufuku. Ukirudia nitakuzuia kwenye wikipedia hii. Ukipenda, unaweza kuokoa makala kwa kuisahihisha kwa lugha inayoeleweka. kama la, itafutwa. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 07:31, 31 Julai 2021 (UTC)