Mahsein Awadhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza kiasi viungo
No edit summary
Mstari 1:
'''Mahsein Awadhi Said''' (alizaliwa [[20 Julai]], ?) ni [[Mtunzi wa nyimbo|mtunzi]], [[Mwongozaji wa filamu|mwongozaji]], na [[mwigizaji]] wa [[tamthilia]] na [[filamu]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Amepata umaarufu chini ya jina la '''Dk. Cheni''' kupitia igizo mbalimbali chini ya [[Kaole Sanaa Group]]. Mbali na sanaa, Mahsein pia ni mshereheshaji katika sherehe mbalimbali. Kuna wakati alisimama kabisa kuigiza na kuendelea kufanya kazi ya u-MC.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Mbegu-igiza-filamu}}
{{BD}}