Tofauti kati ya marekesbisho "Kiserbokroatia"

228 bytes added ,  miezi 2 iliyopita
no edit summary
d (fix homoglyphs: convert Latin characters in [c]рпскохрватски to Cyrillic)
 
[[File:Serbo croatian language2005.png|thumb|right]]
[[File:Serbo croatian languages2006.png|thumb|right]]
'''Kiserbokroatia''' (iliyoitwa pia '''Kikroatoserbia''', (halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au српскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa [[lugha rasmi]] ya [[Yugoslavia]] pamoja na [[Kislovenia]] na [[Kimasedonia]].
 
Wakati wa [[Ufalme]] na baadaye [[Jamhuri]] ya Yugoslavia '''[[Kiserbia]] na [[Kikroatia]]''' zilitazamiazilitazamwa kama [[lahaja]] za [[lugha]] moja iliyoendelea kwa [[karne]] nyingi katika eneo lililotengwalililogawiwa kisiasa. [[Taifa]] jipya ya Yugoslavia lilitaka kuunganisha lahaja za karibu za [[Wakroatia]], [[Waserbia]] na [[Wabosnia]]. HiiHuo ilikuwaulikuwa mpango wa kuunda [[lugha sanifu]] ya kisasa na kujenga [[umoja]] wa kitaifa.
 
Kufuatana na [[tamaduni]] mbalimbali katika Yugoslavia lugha hiyo iliandikwa kwa [[alfabeti ya Kikirili]] upanda wa [[Mashariki]] katika eneo la [[Serbia]] na kwa [[alfabeti ya Kilatini]] upande wa [[Magharibi]] katika eneo la [[Kroatia]].
 
Baada ya kuporomokakusambaratika kwa Yugoslavia tangu [[mwaka]] [[1991]] maeneo yake yaliendelea kama nchi huru za pekee. Kila nchi kati ya [[Serbia]], [[Kroatia]] na, [[Bosnia-Herzegovina]] na hatimaye [[Montenegro]] ilianza kudai ya kwamba lugha ya watu wake ni lugha ya pekee. [[Neno]] na [[wazo]] la "Kiserbokroatia" ilifutwalilifutwa kati ya wasemaji wa lugha baada ya kipindi cha uadui na [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]]. Hata hivyo [[wataalamu]] wengi wanaiona bado kuwa lugha moja.
 
==Mifano ya tofauti kati ya lahaja hizo==
{| class="wikitable"
! Français