Semta (Afrika) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
'''Semta''' ilikuwa [[mji]] wa [[Dola la Roma]] katika [[jimbo]] la [[Afrika ya Kiroma]]. Ilijulikana pia kama ''Augustum Semta''. Mahali pake panadhaniwa kuwa kwenye [[magofu]] ya leo yanayoitwa [[Henchir Zemba]] <ref>Brent D. Shaw, [https://books.google.com.au/books?id=F8ZRPTgcjrcC&pg=PR18&lpg=PR18&dq=Semta++GCatholic&source=bl&ots=C5puBpvp41&sig=4D5MuoH9MBAz9vQJ4_ieRNDTRpk&hl=en&sa=X&ved=0ahUKEwiJ1oXKioXRAhUCopQKHbq5DycQ6AEIJTAC#v=onepage&q=Semta%20%20GCatholic&f=false ''Sacred Violence: African Christians and Sectarian Hatred in the Age of Augustine''] (Cambridge University Press, 2011 ).</ref>, takriban kilomita 20 kusini magharibi mwa [[Zaghouan]] <ref>[http://www.trismegistos.org/place/17169 Barington Altas].</ref>, upande wa kusini wa jiji la [[Tunis]]<ref>http://imperium.ahlfeldt.se/places/24857.html</ref>.
 
Semta ya zamani ilijulikana kama [[makao makuu]] ya [[askofu]]<ref>[http://www.catholic-hierarchy.org/diocese/d2s84.html Semta] at catholic-hierarchy.org.</ref> wa [[Kanisa Katoliki]] chini ya [[jimbo kuu]] la [[Karthago]].<ref>[http://www.apostolische-nachfolge.de/titulare_s.htm Apostolische Nachfolge – Titularsitze]</ref><ref>[http://www.gcatholic.org/dioceses/former/t1569.htm Semta at ''gcatholic.org''] (English)</ref><ref>J. Mesnage, ''L'Afrique chrétienne'', (Paris, 1912), p. 63.</ref> Mmojawapo alitajwa katika [[mwaka]] [[411]]. Tangu mwaka [[1933]] Kanisa Katoliki limeanza kutumia tena [[jina]] la Semta kama [[dayosisi]] [[jimbo jina|ya jina]] kwa ajili ya maaskofu wasio na dayosisi halisi.<ref>''Le Petit Episcopologe'', Issue 127.</ref><ref>''Revue des Ordinations Épiscopales'', Issue 1955, Number 71.</ref>
 
==Marejeo==