Kucha (Hyliota) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Nyongeza picha |
Bingwa wa spishi |
||
Mstari 14:
| jenasi = ''[[Hyliota]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[William Swainson|Swainson]], 1837
| subdivision = '''Spishi 4:'''
* ''[[Hyliota
* ''[[Hyliota
* ''[[Hyliota
* ''[[Hyliota violacea|H. violacea]]'' <small>[[Jules Verreaux|J.Verreaux]] & [[Edouard Verreaux|E.Verreaux]], 1851</small>
}}
'''Kucha''' wa jenasi ''[[Hyliota]]'' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo ambao zamani waliainishwa katika [[Sylviidae]], [[familia (biolojia)|familia]] ya [[kucha (Sylviidae)|kucha]] wengine. Sasa wataalamu wanakubaliana kwamba ndege hawa hawana mnasaba na Sylviidae. Labda wana mnasaba na familia [[Promeropidae]] ([[ndegesukari]] wa [[Afrika]] Kusini). Hadhi yao haijaamua bado lakini wapewa familia yao kwa sasa: [[Hyliotidae]]. Wanafanana na [[tatata]]. Kucha hawa wana rangi ya nyeusi au zambarau mgongoni na nyeupe, machungwa au njano chini. Hula [[mdudu|wadudu]] na pengine [[beri]] na [[mbegu]]. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya uoto mzito. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-5.
|