Hispania Mpya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Shadowxfox (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Viceroyalty of the New Spain 1819 (without Philippines).png|400px450px|thumbnail|Maeneo ya Hispania Mpya (bila sehemu za Pasifiki na Asia) mnamo mwaka 1919]]
'''Hispania Mpya''' ([[Kihisp.]] '''Virreynato de Nueva España''') ilikuwa eneo la kikoloni la [[Hispania]] katika [[Amerika ya Kaskazini]], [[Amerika ya Kati]] na sehemu za visiwa vya [[Asia]] kuanzia mwaka [[1535]] hadi [[1821]]. Lilijumlisha nchi za leo za [[Mexiko]], [[Belize]], [[Guatemala]], [[El Salvador]], [[Honduras]], [[Nikaragua]], [[Costa Rica]], [[visiwa vya Karibi]], Ufilipino na visiwa mbalimbali katika Pasifiki pamoja na maeneo yaliyo leo majimbo ya kusini ya Marekani (majimbo ya [[Kalifornia]], [[Nevada]], [[Utah]], [[Colorado]], [[Wyoming]], [[Arizona]], [[New Mexico]], [[Texas]] na [[Florida]]). Hata Venezuela ilikuwa sehemu yake hadi kuhamishwa [[Granada mpya]] mnamo 1717.