Kanuti IV : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Christian-albrecht-von-benzon, the death of Canute the Holy.jpg|thumb|250px|''Uuaji wa Mt. Kanuti'' ulivyochorwa na Christian Albrecht von Benzon, [[1843]].]]
'''Kanuti IV''' (maarufu kwa [[Kidenmark|Kidani]] kama "Knud den Hellige", "Kanuti mtakatifu", [[1043]] - [[Odense]], [[10 Julai]] [[1086]]), alikuwa [[mfalme]] wa [[Udani]] kuanzia [[mwaka]] [[1080]] hadi siku ya kuuawa.
 
Pamoja na [[utakatifu]] wake, alionyesha bidii kubwa kwa uimarishaji wa [[mamlaka]] yake ndani na nje ya nchi.
Mstari 6:
Aliuawa ndani ya [[kanisa]], mbele ya [[altare]], pamoja na watu wengine 18.
 
Wananchi walimheshimu mara moja kama mtakatifu, na [[Papa Paskali II]] alithibitisha [[heshima]] hiyo mwaka [[1101]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifodini]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 14 ⟶ 16:
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1043]]
[[Jamii:Waliofariki 1086]]
[[Jamii:Wafalme na malkia wa Denmark]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]
[[Jamii:Watakatifu wa Denmark]]