Osiris : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 12:
 
== Kazi yake ==
Osiris alikuwa mungu wa [[kuzimu]]. [[Jukumu]] moja kama bwana wa kuzimu ilikuwa kufanya [[hukumu]] ya mwisho kabisa ya wafu. Katika [[imani]] ya Misri, [[roho]] iliweza kukubaliwa katika kuzimu lakini wale waliokataliwa walizimika kabisa, ilhali hakuna mafundisho kuhusu [[adhabu]] au mateso.<ref>{{cite news|title=Letter: Hell in the ancient world. Letter by Professor J. Gwyn Griffiths|date=December 31, 1993|newspaper=[[The Independent]]|url=https://www.independent.co.uk/opinion/letter-hell-in-the-ancient-world-1470076.html|accessdate=2021-03-20|archivedate=2012-09-01|archiveurl=https://web.archive.org/web/20120901184319/http://www.independent.co.uk/opinion/letter-hell-in-the-ancient-world-1470076.html}}</ref>. Osiris alihusika pia kuwalinda watu kutokana na hatari zilizohofiwa kutoka kuzimu kwa walio hai.
 
== Mwonekano ==