Elizabeth Mataka : Tofauti kati ya masahihisho

Mwanaharakati wa
Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:09, 6 Agosti 2021

Elizabeth Mataka alikuwa mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu VVU / UKIMWI barani Afrika, aliteuliwa kuwa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa mnamo tarehe 21 Mei 2007 na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa | Katibu Mkuu wa UN Ban Ki-moon, kuchukua nafasi ya Stephen Lewis. Alihudumu katika nafasi hii hadi 13 Julai 2012. Elizabeth Mataka ni raia wa Botswana na mkazi wa Zambia. Aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria.

Elizabeth Mataka katika Mkutano wa Kiuchumi wa Dunia wa Afrika wa 2009