Trevor Kent : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:45, 10 Agosti 2021

Trevor Kent amezaliwa (24 Aprili 1940 na kufa 4 Novemba 1989) alikuwa mwigizaji wa ukumbi wa michezo wa Australia na mwigizaji wa runinga ambaye alipata umaarufu naa kutambuliwa na jamii katika miaka ya 1980.

Wasifu

Hapo awali Kent alifanya kazi kama mwalimu wa shule ya msingi, akifundisha kwa miaka mitatu huko Nambour na Buderim na hata pia alipokuwa huko Queensland alikuwa akiigiza katika vikundi vya ukumbi wa michezo. [onesha uthibitisho]

Akiwa huko Sydney, alisoma jukumu la Rolfe katika utengenezaji wa Tivoli Theatre ya "The Sound of Music" Sauti ya Muziki", na akaigiza katika "Becket" na "Oh Dad, Poor Dad, Mamma's Hung You in the Closet and I'm Feelin' So Sad" na yule wa Kujitegemea. Baada ya miaka miwili lihama kutoka huko Sydney na kuhamia Uingereza na akakaa huko miaka kumi.[1] Huko Uingereza Kent alifanya kazi na Mkurugenzi Bil Keating na baadaye na Royal Shakespeare Company. Naliporudi Sydney mnamo 1974, Kent alicheza kama Frank'N'Furter katika utengenezaji wa "The Rocky Horror Show".

Maonyesho kadhaa kwenye runinga ya Australia yalifuata, pamoja na majukumu katika (mfululizo wa Truninga wa miaka ya 1970) , "The Sullivans" , "Cop Shop" na "Carson's Law". Mnamo mwaka 1984 alihamia Melbourne na mnamo 1984-1985 alionekana kwenye mfululizo wa runinga wa "Prisoner" akiwa kama mfungwa.

katikati ya miaka ya 1980 Kent, ambaye alikuwa shoga, aligundua kuwa ana VVU, na wakati huo alijitolea kama mwangalizi kwa watu wanaoishi na VVU na UKIMWI.

Kifo

Mnamo mwaka 1989 kufikia wiki chache kabla ya kifo chake Kent aliendelea kufanya kazi na kikundi cha ukumbi wa michezo. Uigizaji wake wa mwisho alikuwa Meryl Streep katika filamu ya A Cry in the Dark mwaka (1988 ).

Filamu

Television and Film
Year Title Role Notes
1969 Theatre Date Giles Cadwallader (TV Series), 1 episode: "The Man Most Likely to ..."
1971 Scene Shop assistant (TV Series documentary), 1 episode: "Mates"
BBC Play of the Month Yakov, servant (TV Series), 1 episode: "Platonov"
1976 The Sullivans Allister McConnell (TV Series), 1 episode
Rush Vinnie (TV Series), 1 episode: "McKellar R.I.P."
1977 Straight Enough (Unnamed role) (TV Movie)
1978 Case for the Defence The Rabbi (TV Series), 1 episode: "The Man Who Died Twice"
1981 Sporting Chance Eddie (TV Series), 1 episode: "Eating Dirt"
1981-1983 Cop Shop Frank Gilmore (TV Series), 3 episodes: "Episode #1.281", "Episode #1.282" and "Episode #1.500"
1982 Der schwarze Bumerang Richard Duffy (Australian/German TV Mini-Series), All 4 episodes
1983-1984 Carson's Law George Royston (1983)/ Simpkins (1984) (TV Series), 7 episodes
1984 Special Squad Doggy Barker (TV Series), 1 episode: "Easy Street"
1984-1985 Prisoner Frank Burke (TV Series), 33 episodes
1985 Colour in the Creek Brother Paul (TV Series), 2 episodes: "Return to Coorumbong Creek" and "Gold Fever"
1988 A Cry in the Dark Bomb Scare Policeman (Film)

Marejeo

  1. Atterton, Margot. (Ed.) The Illustrated Encyclopaedia of Australian Showbiz, Sunshine Books, 1984. ISBN 0-86777-057-0 p 123

Viungo vya nje