Ndegesukari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 18 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q855761 (translate me)
Ngazi za chini
 
Mstari 14:
| jenasi = ''[[Promerops]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760
| subdivision = '''Spishi 2:'''
| spishi = ''[[Promerops cafer|P. cafer]]'' <small>([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)</small><br>
* ''[[Promerops gurneyicafer|P. Gurneyicafer]]'' <small>([[JulesCarolus VerreauxLinnaeus|J. VerreauxLinnaeus]], 18711758)</small><br>
| spishi =* ''[[Promerops cafergurneyi|P. caferGurneyi]]'' <small>([[CarolusJules LinnaeusVerreaux|LinnaeusJ. Verreaux]], 1758)1871</small><br>
}}
'''Ndegesukari''' (kutoka [[Kiingereza|Kiing.]]: [[w:Sugarbird|sugarbird]]) ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Promeropidae]]. Wanatokea [[Afrika Kusini]] tu. Domo lao limepindika na mkia ni mrefu sana, kwa dume hasa. Ulimi wao ni mrefu wenye ncha kama brashi na unaweza kuchomozwa nje ili kula [[mbochi]]. Hupata nguvu yao takriban yote kutoka mbochi wa [[ua|maua]] ya [[jenasi]] ''[[Protea]]'' na ndege hawa ni [[mchavushaji|wachavushaji]] muhimu wa maua haya. Hula pia [[mdudu|wadudu]] ambao wanavutika na maua ya ''Protea'', kama [[nyuki]] na [[nzi]]. Hulijenga tago lao katika panda ya mti na jike huyataga [[yai|mayai]] mawili.
 
==Spishi za Afrika==
* ''Promerops gurneyi'', [[Ndegesukari-milima]] ([[w:Gurney's Sugarbird|Gurney's Sugarbird]])
* ''Promerops cafer'', [[Ndegesukari wa Rasi]] ([[w:Cape Sugarbird|Cape Sugarbird]])
* ''Promerops gurneyi'', [[Ndegesukari-milima]] ([[w:Gurney's Sugarbird|Gurney's Sugarbird]])
 
==Picha==