Neli (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d wikidata interwiki |
Ngazi za chini |
||
Mstari 12:
| familia_ya_juu = [[Passeroidea]]
| familia = [[Nectariniidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[chozi (ndege)|chozi]])
| subdivision = '''Jenasi 3:'''
* ''[[
* ''[[
* ''[[Nectarinia]]'' <small>[[Johann Karl Wilhelm Illiger|Illiger]], 1811</small>
}}
'''Neli''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] kadhaa katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Nectariniidae]]. [[Spishi]] hizi ni kama [[chozi (ndege)|chozi]] lakini kubwa kuliko spishi nyingi za chozi. Takriban spishi zote zina rangi ya majani. Manyoya ya kati ya mkia ni marefu sana katika spishi za ''[[Nectarinia]]''. Domo lao limepindika na hutumika kwa kutoa mbochi katika maua au wadudu katika matundu. Hula mbochi hasa na pengine maji ya matunda na wadudu pia. Ndege hawa wanatokea [[Afrika]] kusini mwa [[Sahara]]. Tundu lao lina umbo la mfuko na limening'izika kwa vitawi vyembamba. Jike hutaga mayai 2-4.
Mstari 27:
* ''Chalcomitra rubescens'', [[Neli Koo-kijani]] ([[w:Green-throated Sunbird|Green-throated Sunbird]])
* ''Chalcomitra senegalensis'', [[Neli Gunda]] ([[w:Scarlet-chested Sunbird|Scarlet-chested Sunbird]])
* ''Chalcomitra sp. nov.'', [[Neli wa
* ''Cyanomitra alinae'', [[Neli Kichwa-buluu]] ([[w:Blue-headed Sunbird|Blue-headed Sunbird]])
* ''Cyanomitra bannermani'', [[Neli wa Bannerman]] ([[w:Bannerman's Sunbird|Bannerman's Sunbird]])
Mstari 45:
==Picha==
<gallery>
</gallery>
|