Ahera : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tag: Reverted |
d Masahihisho aliyefanya 87.177.235.86 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
||
Mstari 1:
[[File:GuideToTheAfterlife-CustodianForGoddessAmun-AltesMuseum-Berlin.png|400px|thumb|[[Mchoro]] wa [[Misri ya Kale]] unaoonyesha [[safari]] ya kwenda ahera.]]
'''Ahera''' (pia: '''Akhera''', kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]] ''afterlife'', yaani ''life after death'' au ''hereafter'') ni neno linalotegemea [[imani]] ya kwamba baada ya [[mtu]] [[Kifo|kufariki dunia]] anaendelea kuishi kwa namna nyingine, si kwamba anakoma kabisa.
|