Bunduki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Aina mbalimbali za bunduki thumb|Bunduki ya Kalachnikov '''Bunduki''' ni silaha inayorusha [[ri...
 
No edit summary
Mstari 3:
 
'''Bunduki''' ni [[silaha]] inayorusha [[risasi]] dhidi ya shabaha yake. Ndani ya bunduki inatokea mlipuko wa [[baruti]] na [[gesi]] joto za mlipuko zinasukuma risasi kuelekea mwendo wa [[kasiba]] yake.
 
Bunduki ya kisasa huwa na akiba ya [[ramia]] katika [[chemba]] yake isipokuwa silaha kadhaa za kuwinda. Silaha za kijeshi huwa na chemba zonazoshika risasi zaidi ya 100.
 
==Aina za bunduki==
Line 12 ⟶ 14:
*[[Bunduki ya upepo]] inazotumia nguvu ya gesi yenye shindikizo bila mlipuko. Hii ni . Kwa silaha ndogo ya aina hii shindikizo inapatikana kwa kukandamiza hewa katika chumba cha bunduki. Aina zenye nguvu zinatumia ramia isiyo na baruti bali na gesi iliyokandamizwa ndani yake. Faida yake ni hazina kelele kubwa.
*[[Bunduki ya marisau]] hutumiwa kwa kuwinda wanyama ikifyatua risasi nyingi ndogondogo. Ni rahisi zaidi kushika shabaha lakini haipigi mbali.
*Gobori ni bunduki ambako risasi na baruti zinaingizwa kupitia mdomo wake katika kasiba. Inapiga mara moja tu halafu ni lazima kuijaza upya. Aina hii ni silaha ya kihistoria lakini hupatikana pia kama silaha inayotengenezwa nyumbani.
 
[[Category:silaha]]