Reli ya abiria ya Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
(ANZISHA MAKALA MPYA)
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Reli ya abiria ya Dar es Salaam''', inayojulikana kama '''Treni ya Mwakyembe'''("Treni ya Mwakyembe"), ni muhimu katika jiji na miji ndani ya [[Tanzania]] haswa /mji wa kibiashara wa [[Dar es Salaam]].<ref>{{cite news |date=29 October 2012 |title=Dar es Salaam launches first commuter trains |url=https://www.bbc.co.uk/news/world-africa-20122900 |publisher=[[BBC News]] |accessdate=3 December 2013}}</ref> Ni moja wapo ya mipango miwili iliyochukuliwa na serikali kupunguza safari ndani ya jiji lenye msongamano; nyingine ikiwa ni mfumo wa [[mabasi yaendayo haraka ya Dar es Salaam]]. Huduma zinatolewa na [[Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia]] (TAZARA)