Ugonjwa wa Bahima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:31, 17 Agosti 2021

Ugonjwa wa Bahima husababishwa na upungufu wa madini chuma kwa watoto ambao hulishwa maziwa ya ng'ombe tu.[1]

Hutokea mara kwa mara kwa watu wa Bahima huko Ankole,nchini Uganda, ambapo ndio chimbuko la jina lake. Bahima ni kabila linalotegemea sana ufugaji wa ng'ombe wenye pembe ndefu.

Viunga vya nje

Marejeo

  1. Stedman, Thomas Lathrop (2005). Stedman's Medical Eponyms (kwa Kiingereza). Lippincott Williams & Wilkins. uk. 40. ISBN 9780781754439.